Back to homeWatch Original
Ogembo, Wambui, Kibet na Macharia Washinda Raundi ya Nakuru ya Gofu ya KCB
video
July 14, 2025
about 13 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya Enock Ogembo, Eleanor Wambui, John Kibet na Macharia waliandikisha jumla ya alama 114 na kuibuka washindi wa raundi ya Nakuru ya msururu wa gofu ya KCB ya Afrika Mashariki iliyofanyika katika uga wa gofu wa Nakuru. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan ne..