Back to home

Kampuni ya MARWASCO yalalamikia uharibifu wa mabomba

video
July 16, 2025
about 12 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kampuni ya kusambaza maji katika kaunti ya Marsabit MARWASCO, imelalamikia uharibifu wa mabomba ya maji mjini Marsabit na viunga vyake, licha ya kampuni hiyo kujitolea kuweka mabomba ya maji..