Back to homeWatch Original
IEBC yakumbana na changamoto kuu la kujaza mapengo ya uwakilishi
video
July 16, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Takriban wiki moja baada ya kuapishwa, tume mpya ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) inakumbana na changamoto kuu la kujaza mapengo ya uwakilishi ambayo yamewaacha zaidi ya Wakenya milioni moja bila sauti katika serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news..