Back to homeWatch Original
Kampeini ya chanjo ya ukambi yaendelea Kwale
video
July 17, 2025
about 12 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Katika kaunti ya Kwale zaidi ya asilimia 47 ya watoto wamepokea chanjo ya ugonjwa wa ukambi huku waliopata chanjo dhidi ya homa ya matumbo wakiwa asilimia 61 ya waliolengwa na kampeni hiyo..