Back to home

Vijana wawili wauwawa kwa risasi kwenye maandamano

video
July 18, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Ripoti za upasuaji wa maiti ya vijana wawili waliouwawa kwenye maandamano katika kaunti za Kirinyaga na Nyandarua zimebaini kuwa walifariki kutokana na majeraha ya risasi. Peter Macharia na Edwin Murimi walipigwa risasi kichwani na kufariki baada ya kufuja damu nyingi. Haya ni hu..