Back to home

Watu 115 wameuawa kwenye maandamano nchini

video
July 9, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Jumla ya watu 115 waliuawa tangu kuanza kwa maandamano ya Gen Z ya Juni mwaka jana. Takwimu hizi zikijumuishwa watu 54 waliouawa katika muda wa mwezi mmoja uliopita wakiwemo waandamanaji wa kumbukumbu ya Juni 25 na Saba Saba...