Back to homeWatch Original
Zaidi ya watu 25 walifariki nchini kwenye maandamano miongoni mwao akiwa msichana wa miaka 12
video
July 8, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Idadi ya waliofariki katika maandamano ya siku ya saba saba kote nchini imefikia zaidi ya watu 25. Miongoni mwa waliofariki ni msichana wa miaka 12 aliyepigwa risasi akitazama televisheni na mamake ndani ya nyumba yao huko Ndumberi. Msichana huyo alikuwa kwao takriban kilomita mb..