Back to homeWatch Original
Ufadhili wa masomo Kericho
video
July 22, 2025
about 10 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanafunzi zaidi ya 2,500 kutoka shule 43 za upili za kutwa katika eneo bunge la Kipkelion Mashariki wamenufaika tena na msaada wa elimu ya bure, kwa hisani ya Mbunge wa eneo hilo, Joseph Cherorot..