Back to home

Familia za waathiriwa wa Maandamano zadai haki

video
July 22, 2025
about 12 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia waliopoteza wapendwa wao wakati wa maandamano ya Saba Saba bado wanazidi kudai haki, huku wakiilaumu serikali kwa utepetevu. Kwenye mazishi ya Jackline Nyawira aliyeuwawa kwa kupigwa risasi kaunti ya Nairobi, waombolezaji walimtaka Rais William Ruto kuhakikisha usalama kw..