Back to homeWatch Original
Utumizi wa sheria ya Ugaidi kuwashtaki waandamanaji unaendelea kukosolewa na makundi tofauti
video
July 22, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Utumizi wa sheria ya Ugaidi kuwashtaki waandamanaji unaendelea kukosolewa na makundi tofauti, ikiwemo chama cha mawakili nchini LSK. Aidha, idara ya mahakama inashutumiwa kwa kuweka faini ya juu ili kuwaachilia kwa dhamana washukiwa wa kosa la Ugaidi waliokamatwa katika maandaman..