Back to home

Tigania Mashariki: Wakulima wa chai wakiweka akiba kwa lengo la kuanzisha Kiwanda kipya

video
July 22, 2025
about 15 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kwa miaka 18 iliyopita, wakulima wa chai wa Kiwanda cha Michiimikuru huko Tigania Mashariki wamekuwa wakiweka akiba ya Shilingi moja kwa kila kilo ya Chai yao kwa lengo la kuanzisha Kiwanda kipya cha Amugaa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and eve..