Back to home

Duale: Wauguzi wanagenzi waliokosa kupata nafasi za kazi kungojea hadi mwaka ujao

video
July 22, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wauguzi wanagenzi waliokosa kupata nafasi za kazi katika hospitali nchini watangojea hadi mwaka ujao kupata kazi baada ya Waziri wa afya Aden Duale kutangaza kuwa hakuna nafasi zingine. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenya..