Back to homeWatch Original
Gavana wa Kwale Achani asema sheria ya biashara itainua wazabuni
video
July 25, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Kwale Fatuma Achani amesema kuwa sheria ya biashara ya kaunti inalenga kuinua wazabuni wa ndani, hususan wanawake na vijana wasiokuwa na mitaji mikubwa, kwa kuwapa mikopo kupitia hazina ya Biashara Revolving Fund ili waweze kutekeleza kandarasi wanazopewa..