Back to home

Waziri wa Elimu Migos Ogamba asema hakuna pesa za kutosha kwa Elimu

video
July 25, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri wa Elimu Migos Ogamba sasa anasema kwamba Serikali haiwezi kuafikia kiwango kamili cha ruzuku iliyotengewa wanafunzi wa shule za upili kila mwaka kutokana na bajeti finyu kwa wizara hiyo akisema kwamba ni shillingi 16,900 pekee inaweza kuafikiwa. Ogamba amesema serikali ha..