Back to homeWatch Original
Murkomen afichua kuwa maafisa kadhaa wa polisi wamefunguliwa mashtaka kwa kusaidia uhalifu Kerio
video
July 26, 2025
6d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri Murkomen, bila kutoa idadi kamili, amefichua kuwa maafisa kadhaa wa polisi wamefunguliwa mashtaka kwa kusaidia shughuli za uhalifu katika bonde la Kerio ikiwemo kuuza risasi kwa majahili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told..