Back to homeWatch Original
Imani potovu Kilifi
video
July 28, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Siku chache baada ya utata mwingine wa kidini kuchipuka eneo la Kwa Binzaro kule Chakama na kuzua wasiwasi miongoni mwa wakazi, Serikali ya kitaifa imetakiwa kuongeza maafisa wa utawala katika eneo la Chakama na Shakahola ili kukabiliana na visa vya dini tata kuzuka eneo hilo..