Back to homeWatch Original
Wanafunzi waongoza kampeni ya kupinga mihadarati Pwani
video
July 29, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Pwani David Mtsongori na mwenzake wa kilifi Kahindi James wamefichua kuwa asilimia kubwa ya vijana nchini ni waraibu wa mihadarati akisema kuwa wanashirikiana na mashirika ya kupambana na mihadarati ili kukomesha hali hiyo..