Back to homeWatch Original
Kina mama wafanya matembezi ya kuhubiri amani Kajiado
video
July 29, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanawake kutoka kaunti ya Kajiado wamefanya matembezi ya kueneza amani nchini. Wanawake hawa walielekeza kampeni yao ya amani kwa vituo vya polisi, shule na sehemu nyingine za umma...