Back to home

Utabiri wa hali ya hewa Kajiado

video
August 1, 2025
17h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wadau wa kutunza mazingira wamekamilisha warsha ya siku mbili katika kaunti ya Kajiado kujadili namna ya kuweka mikakati zaidi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi hasa kwa kutumia taarifa za utabiri wa hali ya hewa ya hadi mwezi desemba mwaka huu..

Utabiri wa hali ya hewa Kajiado (Video)