Back to home

Uvamizi wa wanyamapori Kaunti ya Kajiado

video
July 11, 2025
about 20 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Kajiado kuhakukisha kuwa imetenga njia mbadala ya kuwawezesha wanyamapori kupita bila ya kuingilia makazi ili kupunguza uvamizi wa wanyamapori katika kaunti hiyo..