Back to homeWatch Original
Msafara wa MPESA Sokoni Watua Magharibi kuadhimisha Miaka 18 ya Huduma
video
July 30, 2025
21h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni umeingia eneo la Magharibi kwa kuzuru kaunti za Vihiga, Kakamega na Bungoma katika hafla ya kuadhimisha miaka 18 ya mafanikio ya huduma za MPESA nchini. Safaricom, imeshirikiana na Kampuni ya Royal Media Services, kuandaa shamrashamra hizi maalum...