Back to home

Wanaharakati wataka IEBC Kuanzisha mchakato bungeni wa kuwang'atua wabunge wasiojukumika

video
July 30, 2025
20h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanaharakati waliowasilisha hoja ya kumng'atua mwakilishi mwanamke wa kaunti ya Nairobi Esther Passaris sasa wamejitokeza kutaka tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Kuanzisha mchakato bungeni wa kuwang'atua wabunge wasiojukumika. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Keny..