Back to homeWatch Original
Mlalamishi katika kesi ya ulaghai wa ardhi apinga hatua ya DPP kuondoa kesi hiyo mahakamani
video
July 30, 2025
2d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Mlalamishi katika kesi ya ulaghai wa ardhi amepinga hatua ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma kuondoa kesi hiyo katika mahakama ya Milimani akisema ni hatua yenye mapendeleo ilisukumwa na ODPP. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya..