Back to homeWatch Original
Wagombea wa kiti cha ubunge cha Kasipul waanza kampeni
video
July 31, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kinyang'anyiro cha kurithi kiti cha eneo bunge la Kasipul kaunti ya Homabay kimeshika kasi. Kiti hicho kiliachwa wazi baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Charles On'gondo Were ...