Back to homeWatch Original
Wamalwa adai njama ya mapinduzi chamani
video
August 1, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kulikuwa na hali tete leo katika makao makuu ya chama cha DAP-K hapa Nairobi, mgogoro wa uongozi wa chama hicho ukichipuka, huku wafuasi wa kinara wa chama hicho Eugene Wamalwa na wale wa naibu wake gavana george natembeya nusra wakabiliane..