Back to home

Butere yashinda 3-0 dhidi ya Kobala, yajikatia tiketi ya fainali

video
August 1, 2025
18h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mabingwa watetezi kwa soka ya wasichana baina ya shule za upili Butere wamejikatia tiketi ya fainali baada ya kuwashinda wenzao Kobala mabao matatu sufuri hii leo mjini Kakamega. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get..