Back to homeWatch Original
Sifuna:Niko tayari kujiondoa ODM iwapo chama kitamuunga mkono rais Ruto 2027
video
August 3, 2025
11h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Katibu Mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna sasa anasema yuko tayari kujiondoa kutoka chama hicho endapo kitakubali kuunga mkono kuchaguliwa tena kwa Rais William Ruto kama Rais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Aidha ni msimamo ambao pia umetolewa na mbunge wa Saboti Caleb Amisi wakisema..