Back to home

Sammy Mwaita ashitakiwa kwa ulaghai wa ardhi ya milioni 300 Nairobi West

video
August 4, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kamishna wa zamani wa ardhi Sammy Mwaita leo amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kupanga njama ya kulaghai vipande viwili vya ardhi eneo la Nairobi West hapa Nairobi. Mbunge huyu wa zamani wa Baringo ya kati akituhumiwa kushirikiana na wenzake kwa njama ya ulaghai wa ardhi y..