Back to homeWatch Original
Mwakilishi Wadi James Barasa afariki Bungoma
video
August 5, 2025
9h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mwakilishi Wadi wa Chwele/Kabuchai katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma James Barasa Mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu katika hospitali moja mjini Bungoma baada ya kuugua ugonjwa wa saratani..