Back to homeWatch Original
Viongozi wa makanisa waomba wanasiasa kutoingiza siasa kwenye maswala ya elimu
video
August 5, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
VIONGOZI WA MAKANISA SASA WANAITAKA SERIKALI NA WANASIASA KUTOINGIZA SIASA KWENYE SWALA LA ELIMU NCHINI. VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI NAIROBI WAMESEMA SIASA ZINAZOINGIZWA KWENYE ELIMU ZINATIA HOFU. HAYA YAMEJIRI HUKU WAZIRI WA ELIMU MIGOS OGAMBA AKISEMA SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI Y..