Back to home

Wanaharakati wakemea ufisadi katika huduma ya kitaifa ya polisi

video
August 6, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wanataka kuvunjiliwa mbali kwa Huduma ya Kitaifa ya Polisi kufuatia ufichuzi wa kushangaza katika Ripoti ya EACC kuhusu Viwango vya Ufisadi, ambayo imeorodhesha huduma hiyo kuwa miongoni mwa taasisi fisadi zaidi nchini..