Back to home

Makao ya watoto yafungwa kisii

video
August 8, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Takriban vituo 12 vya watoto yatima vimefungwa kule Kisii kufuatia operesheni maalum inayoendelea kwa sasa ikiongozwa na idara ya watoto kwa ushirikiano na vitengo mbalimbali vya usalama. Katika eneo la Nyosia eneo bunge la Nyaribari Chache, kizaaZAa kilizuka baada ya mmiliki mmo..