Back to homeWatch Original
Huduma za afya Port Victoria
video
August 8, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia na kaunti jirani ya Siaya na nchi jirani ya Uganda wameshabikia kuboreshwa kwa huduma katika hospitali ya Port Victoria baada ya muda mrefu wa mahangaiko..