Back to homeWatch Original
Jamaa za waliofariki kwenye ajali zaomboleza
video
August 8, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kifaa cha kubeba data muhimu ya ndege maarufu black box kimepatikana katika eneo la ajali ya ndege iliyotokea mwihoko kaunti ya Kiambu. Kifaa hicho kinatarajiwa kutoa taarifa muhimu kuhusu kilichosababisha ajali hiyo. Na kama anavyoarifu franklin wallah, maafisa wa uchunguzi wali..