Back to home

KWS limeandaa kikao Makueni kwa lengo la kukusanya maoni kutoka kwa wananchi

video
August 8, 2025
4d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shirika la wanyamapori nchini (KWS) limeandaa kikao maalum katika mji wa Wote kwa lengo la kukusanya maoni kutoka kwa wananchi kuhusu pendekezo la kuongeza ushuru wa kuingia katika mbuga za wanyama nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and every..