Back to homeWatch Original
Ukame kaunti ya Marsabit
video
August 11, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya maeneo yaliyo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na ukame nchini. Kwa miaka mingi, wakaazi wa kaunti hiyo, wametegemea ufugaji kama njia ya kujikimu kimaisha..