Back to homeWatch Original
Hisia zaendelea kutolewa kuhusu kauli ya Rais
video
August 11, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tangazo la Rais kuhusu mikakati ya kuwapa fidia waathiriwa wa maandamano limeendelea kuzua hisia. Viongozi wa makanisa katika kaunti ya bungoma wamejitokeza kutaka jopo hilo kutekeleza kazi yake vyema kuhakikisha watakaonufaika ni waathiriwa halali..