Back to home

Viongozi wa kisiasa Kisii wataka haki kwa waathiriwa wa GEN Z

video
August 11, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka eneo la Gusii wamesisitiza kwamba sharti waliotekeleza mauaji ya vijana wa GEN Z wachukuliwe hatua za kisheria, hata kabla serikali kutekeleza mpango wa kufidia familia zilizoathitika..