Back to homeWatch Original
Familia kadhaa zinaomboleza vifo vya wapendwa Wao
video
August 11, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali za barabarani imefikia watu 60, baada ya watu kumi zaidi kufariki kaunti za Makueni, Nakuru na Tana River..