Back to home

DCP Yapinga Vitisho Vya Kukamata kiongozi wao Rigathi Gachagua

video
August 11, 2025
4d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa chama cha DCP, wakiongozwa na Naibu Mwenyekiti Cleophas Malala, wametoa onyo kwa serikali dhidi ya vitisho vya kumkamata kiongozi wao Rigathi Gachagua atakapowasili Kenya kutoka Marekani. Aidha, Malala alitishia kuandamana na maelfu ya Wakenya uwanja wa ndege kumlaki ..