Back to homeWatch Original
Mvutano wa Ardhi Waendelea kwa Miezi Mitatu Mulinge, Mlolongo
video
August 11, 2025
3d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Mchezo wa paka na panya umezidi kushuhudiwa na wakazi wa Mulinge, eneo la Mlolongo, Kaunti ya Machakos kwa miezi mitatu sasa, kwa kile kinachodaiwa kuwa mzozo wa ardhi unaomhusisha mwekezaji wa kibinafsi na wakazi wa eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenya..