Back to home

Wakazi wa Samburu wapokea matibabu ya macho bure

video
August 12, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali ya kaunti ya Samburu kwa ushirikiano na shirika la Eyesight Operation,imezindua rasmi shughuli ya upasuaji wa macho bila malipo katika hospitali ya Suguta MarMar..