Back to home

Wabunge wamtaka waziri Tuya kujibu maswali kuhusu mauaji ya makumi ya wavuvi kutoka Todonyang

video
August 12, 2025
17h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wabunge katika Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Ulinzi, Ujasusi na Utangamano wa Kimataifa wameonyesha kughathabishwa kwa kutochukuliwa kwa hatua madhubuti dhidi ya wahusika wa mauaji ya makumi ya wavuvi kutoka eneo la Todonyang, Kaunti ya Turkana. Subscribe to NTV Kenya channe..