Back to home

KNCHR Yataka Fidia Zaidi kwa Waathiriwa wa Maandamano | Yataka kesi ziangaliwe upya

video
August 13, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

TUME YA KITAIFA YA KUTETEA HAKI ZA KIBINAADAM NCHINI KNCHR SASA INATAKA WAATHIRIWA WA MAANDAMANO KUPEWA FIDIA ZAIDI YA PESA WALIZOAHIDIWA. TUME HII SASA IKITAKA KAMATI MAALUM ILIYOBUNIWA KUANGAZIA UPYA KESI ZA WAATHIRIWA KUHAKIKISHA HAKI NA UWAJIBIKAJI ZINAAFIKIWA..