Back to home

Mbunge Elachi amtaka Raila kuingilia mzozo wa chaguzi ndogo ODM Dagoretti

video
August 15, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mbunge wa eneo la Dagoretti Kaskazini Beatrice Elachi sasa anataka kinara wa ODM kuingilia kati na kuita kikao na viongozi haswa wa eneo la Dagoreti ili kutoa suluhu kuhusu chaguzi ndogo za chama hicho katika eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news ..