Back to homeWatch Original
Makovu ya Ajali
video
August 15, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huzuni na majonzi zilishamiri kwenye makafani ya Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga, familia za watu 22 walipokezwa miili ya wapendwa wao ili kuisafirisha kwa mazishi. Watu hao ni kati ya 27 waliofariki kufuatia ajali katika barabara ya Kisumu kuelekea Kakame..