Back to home

Wazee waanza kuwahusisha wanaowania ubunge

video
August 19, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baraza la wazee kutoka vijiji mbali mbali eneo bunge la Kasipul wameanza mchakato wa kuwaandaa viongozi wanaojitokeza kuwania kiti cha eneobunge la Kasipul kwenye uchaguzi mdogo ujao...