Back to homeWatch Original
Waathiriwa wa mafuriko Budalangi wahamasishwa kuhusu kuishi Kambini
video
August 20, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waathiriwa wa mafuriko eneo bunge la budalang’i kaunti ya Busia wamehamasishwa kuhusu jinsi ya kuishi na kuishi katika mandhari hayo magumu. Waathiriwa hao haswa watoto wa kike hupitia masaibu mengi kama vile kupachikwa mimba wakiwa wachanga na kuasi masomo mbali na kukosa bidh..