Back to home

Vincent Bett adaiwa kudungwa kisu na mpenziwe

video
August 20, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hali ya Huzuni na simanzi ilitanda Katika kijiji Cha Kaptamuk kwenye eneo bunge la Emgwen Kaunti ya Nandi,wakati wa Mazishi ya mhudumu wa bodaboda anayedaiwa kuuwawa na mkewe wiki jana.Vincent Bett mwenye umri wa miaka 28 anasemekana kufariki baada ya kudungwa kisu na mpenziwe ku..