Back to homeWatch Original
Maonyesho ya Utamaduni yameandaliwa Magadi
video
August 21, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maonyesho ya utamaduni na Mila ya Jamii ya maa imeandaliwa Leo Katika eneo la Magadi huko Kajiado Magharibi Wakazi wa eneo hilo watapata fursa ya kuonyesha Mavazi ya Jamii hiyo ya maa, Vyakula vya kiasili, Nyimbo za kitamaduni pamoja na tamaduni zingine..